Thursday, July 11, 2013

Picha: Muonekano wa Wema Sepetu baada ya kunyoa ‘Kipara’

Msanii wa filamu TZ aka Bongo Movies, Wema Sepetu ameamua kunyoa kipara tena. And I think whatever she does, she looks damn beautiful.
Look at this photo, mmoja wao aliishare kwenye mtandao wa Instagram. Huyo pembeni ni Martin Kadinda ambaye ni Manager wa Wema Sepetu
(More...)

Tangazo: Simu aina ya ‘HTC Wildfire (Android)’ Inauzwa kwa bei nafuu | More info, Ingia hapa